
GOMES AFUNGUKA KILICHOMUONDOA SIMBA – VIDEO
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Simba, Didie Gomes amesema ameomba kujiondoa kwenye klabu hiyo baada ya kushinfwa kufikia malengo kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. “Ninapenda kuwa muwazi kwa mashabiki na wapenzi wa mpira nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu nafasi yangu ya Ukocha Mkuu wa Simba Sc kwa sababu ninaamini ndiyo maamuzi sahihi kwa manufaa ya klabu.”…