BABA MZAZI WA MBWANA SAMATTA AFARIKI DUNIA

Baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, Mzee Ally Samatta, amefariki dunia asubuhi ya leo, Julai 6, 2025. Msiba upo Mbagala, jijini Dar es Salaam, ambapo familia, ndugu, jamaa na marafiki wamekusanyika kuomboleza msiba huo mzito. Timu ya Global TV ipo eneo la tukio na itaendelea kukuletea taarifa kamili kuhusu msiba…

Read More

AZAM FC YAMTAMBULISHA KOCHA IBENGE KWA KISHINDO!

Klabu ya Azam FC leo Julai 5, 2025 imemtambulisha rasmi Florent Ibenge kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi hicho, kupitia ukurasa wao wa Instagram kwa ujumbe mfupi lakini mzito uliosema: “Karibu Azam FC, kocha bora Afrika – Florent Ibenge.” Utambulisho huo umethibitisha kile ambacho mashabiki wa soka walikuwa wanakisubiri kwa hamu: ujio wa kocha mwenye…

Read More

HILI HAPA JAMBO KUBWA LINAFUATA KWA AZAM FC

MATAJIRI wa Dar Azam FC wanakuja na jambo kubwa jingine ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Azam FC imekamilisha mzunguko wa pili msimu wa 2024/25 ikiwa na pointi 63 itashikriki Kombe la Shirikisho Afrika tayari imeanza kutambulisha wachezaji wake wapya. Julai 3 2025 ilimtambulisha beki mzawa kutoka Coastal Union,…

Read More

AZIZ KI KURUDI YANGA SC, MAMBO MAGUMU

IKIWA upepo utakuwa mgumu kwa kiungo mshambuliaji wa Wydad, Aziz KI kwenye changamoto yake mpya huenda akarejea ndani ya kikosi cha Yanga SC ambacho kilitwaa ubingwa msimu wa 2024/25 kikiwa na pointi 82 kibindoni. Msimu wa 2024/25 akiwa na uzi wa Klabu ya Yanga SC, Aziz Ki alikuwa ni chaguo la kwanza katika mechi za…

Read More

WALLACE KARIA ASALIA PEKEE KINYANG’ANYIRO CHA URAIS TFF BAADA YA WAGOMBEA WATANO KUNG’OLEWA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, sasa amesalia kuwa mgombea pekee wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, wagombea wengine waliokuwa wamejitokeza kuwania nafasi hiyo wameshindwa kutimiza sifa kwa mujibu wa…

Read More

MIGUEL GAMONDI ATANGAZWA KOCHA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha rasmi kumteua Miguel Ángel Gamondi kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja, kuelekea msimu wa mashindano wa 2025/2026. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo, imeelezwa kuwa uamuzi huo ni sehemu ya mpango wa kuimarisha kikosi na kuongeza ushindani katika ligi kuu na michuano…

Read More

LAMEK LAWI AJIFUNGA MIAKA MIWILI KWA AZAM FC

MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwa kuwa tayari wameanza kushusha mashine za kazi kuelekea msimu mpya wa 2025/26 kwa kumtambulisha beki wa kazi ambaye ni mzawa. Julai 3 2025 mabosi wa Azam FC wamemtambulisha rasmi Lamek Lawi kwa kandarasi ya miaka miwili beki huyo ambaye alikuwa chaguo la kwanza ndani ya Coastal Union…

Read More

CR 7 ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA JOTA

MSHAMBULIAJI bora wa muda wote kwa sasa raia wa Ureno Cristiano Ronaldo ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Diogo Jota na kaka yake Andre Silva. Ulimwengu wa mpira kwa sasa unaomboleza kufuatia kutangulia mbele za haki kwa kijana huyo mwenye miaka 28. Kijana huyo alikuwa kwenye safari kuelekea kambini kwa ajili ya maandalizi ya…

Read More