SportsAZAM FC WATUA NDANI YA DODOMA Saleh3 years ago01 mins MSAFARA wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala umefika salama makao makuu ya Tanzania, Dodoma kwa walima Zabibu. Azam FC kesho Januari ina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Ni msafara wa wachezaji 24 ambao wamejumuishwa kwenye kikosi hicho ikiwa ni pamoja na Prince Dube, Ali Ahamada,Dube. Hasheem Ibwe, Ofisa Habari wa Azam FC ameweka wazi kuwa wana kazi ngumu ya kufanya kwa ajili ya kusaka pointi tatu ugenini. Post navigation Previous: SIMBA 2-1 SINGIDA BIG STARSNext: MANULA KATUNGULIWA SIMBA IKISEPA NA POINTI TATU
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh2 days ago 0