
AKILI KUBWA KUIMALIZA JWANENG GALAXY KWA MKAPA
BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa kazi bado inaendelea kuelekea kwenye mchezo wao wa marudio dhidi ya Jwaneng Galaxy unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa leo. Katika mchezo wa uliochezwa Uwanja wa taifa wa Botswana, Simba ilishinda kwa mabao 2-0 hivyo ina mtaji wa mabao kibindoni jambo linalowapa hali ya kujiamini kuelekea kwenye mchezo wao…