
AZAM FC YAMTAMBULISHA PAPE DOUDOU DIALLO KUTOKA SENEGAL
Klabu ya Azam FC imeendelea na harakati zake za kusaka ubingwa kwa msimu ujao kwa…
Klabu ya Azam FC imeendelea na harakati zake za kusaka ubingwa kwa msimu ujao kwa kumsajili rasmi winga hatari Pape Doudou Diallo, raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 21. Mchezaji huyo ametambulishwa leo katika viunga vya Azam Complex, Chamazi. Diallo amesaini mkataba wa miaka miwili utakaoendelea hadi Juni 2027, huku Azam ikieleza matumaini makubwa…
Baada ya Rushine De Reuck Julai 29 akiwa ni beki na mchezaji wa kwanza kutambulishwa unyamani, Julai 30 nyota mwingine ametambulishwa. Ni Alassane Kante ambaye ni kiungo aliyekuwa anacheza CA Bizertin ya Tunisia atakuwa ndani ya Simba SC msimj wa 2025/26. Kante aliwaaga mashabiki wake Tunisia na video yake ilizua gumzo wakati akiwaaga mashabiki wa…
CHE Malone ndo basi tena ndani ya kikosi cha Simba SC baada ya kupata changamoto mpya nje ya Tanzania hivyo msimu wa 2025/26 hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Che Malone anatajwa kupata timu nchini Algeria kwa ajili ya changamoto mpya na tayari Simba SC wamempa Thank You…
INAELEZWA kuwa nyota wa zamani wa Yanga SC, Clatous Chama anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Singida, Singida Black Stars inayotumia Uwanja wa Liti. Chama aliwahi kucheza Simba SC kabla ya kuibukia ndani ya Yanga SC msimu wa 2024/25 akiwa mchezaji huru na hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza kutokana na uwepo wa Aziz…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba SC, Jean Ahoua bado yupo ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Taarifa zinaeleza kuwa kuna timu zaidi ya mbili ambazo zinahitaji saini yake lakini hawajafikia makubaliano mazuri kwa sasa kutokana na mchezaji huyo kuwa na mkataba wa mwaka mmoja. Timu ambazo…
Kwenye Dunia ya leo ambapo maendeleo ya kiuchumi na kijamii yanachukua nafasi kubwa kwenye mijadala, kuna hitaji la dhati kwa taasisi na makampuni binafsi kuchangia kwa vitendo katika ustawi wa jamii. Hili ndilo limejidhihirisha baada ya kampuni ya Meridianbet kuchukua hatua ya kipekee ya kutoa msaada wa vifaa vya usafi kwa vikundi vya wasafishaji barabara…
ISRAEL Mwenda beki wakupanda na kushuka bado atakuwa ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz nakufanya kuwa na wapya wanne ndani ya Julai 29 waliotangazwa Yanga SC. Mwenda alitambulishwa Yanga SC kwenye dirisha dogo akitokea Singida Black Stars kwa mkopo kutokana na kuwa kwenye kiwango bora mabosi wa Yanga SC…
RASMI Simba SC imefanya utambulisho wa mchezaji wa kwanza kuelekea msimu wa 2025/26. Hii ni baada ya sanduku la usajili kupatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya Hindi. Baada ya usajili kufunguliwa Simba SC ilikuwa kimya huku watani zao wa jadi wakitambulisha wachezaji wapya wa kazi kwa ajili ya msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameanza maandalizi kuelekea msimu wa 2025/26 chini ya Kocha Mkuu, Florent Ibenge. Azam FC iligotea nafasi ya pili kwenye msimamo msimu wa 2024/25 na kiungo Feisal Salum alikuwa namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho ambazo ni 13 na alifunga mabao manne yote kwa mguu wa kulia. Ibenge ameweka wazi…
MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Zubeda Sakuru amesema kuwa mkataba ambao wameingia na wadhamini wapya ambao ni BetWay unakwenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu Tanzania kutokana na thamani iliyopo kwenye mkataba huo wa miaka mitatu. “Mkataba ambao tumeingia unakwenda kuleta mapinduzi kwenye mchezo wa soka hapa Tanzania na unakwenda kuongezea nguvu…
BAADA ya uzinduzi wa kitabu cha Moyo Wangu Unavuja Damu kufanyia rasmi na kuingia sokoni, Julai 24 2025 Makao Makuu ya Global Group, Sinza, Mori ikiwa ni kazi ya pili kutoka kwa mtunzi wa kitabu cha Ganzi ya Maumivu, Lunyamadzo Mlyuka nakala ya kitabu kipya inauliziwa kila kona ya Tanzania. Ikumbukwe kwamba kitabu hiki kinazungumzia…
Simba SC inatangaza jambo kubwa leo Julai 29 2025 ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2025/26
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26 kitaweka kambi nchini Misri. Ikumbukwe kwamba leo Julai 29 2025 Simba SC inatarajiwa kutangaza mdhamini mpya na ratiba nzima ya maandalizi kuelekea msimu wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kuna wachezaji wapya ambao watatambulishwa hivi karibuni ndani ya…
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Jean Ahoua huenda akaondoka ndani ya Bongo kwenda kupata changamoto mpya. Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Ahoua yupo kwenye rada za Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria kwa…
WAKATI jina la kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum likitajwa kuwa miongoni mwa wale ambao wamefuatwa kwenye sanduku la usajili la Simba SC katika kina cha Bahari ya Hindi inaelezwa kuwa jina hilo halipo. Taarifa zinaeleza kuwa jina la Fei limekutana na ugumu mzito kuwa ndani ya Simba SC hivyo jitihada zinaendelea kufanyika mpango…
Msimu ukiwa umemalizika salama na wachezaji kibao wameweza kuonesha uwezo wao, sasa kuna wale ambao walionesha uwezo mkubwa kupita wenzao ambapo tuzo ya kumpata mshindi wa Ballon DOR kufanyika Oktoba. Je upo tayari?. ODDS za kibabe zipo Meridianbet. Beti sasa. OUSMANE DEMBELE ODDS 1.16 Meridianbet wanampa nafasi ya kwanza kuchukua tuzo hiyo mchezaji wa PSG,…
Hii ni simu ya ukumbusho kutoka kwa mpigaji Meridianbet kwenda kwa mpokeaji na ujumbe wake ni mmoja tu, zimebaki siku mbili pekee. Ndiyo, ni siku mbili tu kabla ya pazia kufungwa rasmi kwa promosheni kubwa inayowapa wateja nafasi ya kushinda simu mpya ya kisasa, Samsung Galaxy A25, kupitia Meridianbet. Mwezi wa Julai umekuwa na mvumo…