Katika anga ya michezo ya kubashiri, Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa ni mwamba usiotetereka. Kwa sasa, inakuletea promosheni kabambe kupitia mchezo wa kasino unaotikisa wa Wild White Whale. Ni promosheni ya mwezi mzima iliyoanza tarehe 01 na itaisha tarehe 31 mwezi Septemba ikiwa imesheheni ushindi na zawadi za papo hapo.
Kila mteja aliyesajiliwa na Meridianbet ana nafasi ya kipekee ya kujishindia mizunguko 50 ya bure kila anapokamilisha mizunguko 100 kwa kutumia pesa halisi kwenye mchezo huu wa kusisimua. Haijalishi kama umeshinda au la katika mizunguko yako ya awali, zawadi yako ya bure ni ya uhakika. Hii inafanya kila mzunguko kuwa fursa mpya ya kuongeza ushindi bila shaka.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kushiriki mchezo huu ni rahisi mno, hakikisha una akaunti halali ya Meridianbet, ingia kwenye mchezo wa Wild White Whale, cheza kwa pesa halisi, na ukishafikisha mizunguko 100, zawadi yako ya mizunguko 50 ya bure itaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako. Na kilicho bora zaidi, mizunguko hiyo ya bure haina masharti ya kuchezwa tena, ushindi ni wa kwako, bila vikwazo.
Meridianbet inazingatia uadilifu kwa kila mteja, hivyo promosheni hii inapatikana kwa akaunti moja tu kwa kila mchezaji. Kampuni pia inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha ofa hii bila taarifa ya awali, kwa mujibu wa sera zake.
Usikubali nafasi hii ikupite. Tembelea meridianbet.co.tz au pakua app ya Meridianbet, ingia kwenye ulimwengu wa Wild White Whale, na uanze safari yako ya ushindi wa kila siku. Bahari ya zawadi inakusubiri kwa hamu, cheza sasa.