DAR YATIKISWA NA AMARULA – SUNDOWN SESSIONS YAZUA GUMZO

Dar es Salaam bado inazungumza kuhusu tukio lililotikisa mitaa ya kifahari – Amarula Sundown Sessions, lililofanyika Jumapili, 7 Septemba 2025. Ni wachache tu waliopata nafasi ya kuhudhuria, kwani tukio hili lilikuwa laini ya mwaliko maalum. Wageni waliokuwa ndani walihusisha majina makubwa ya burudani, influencers wenye nguvu mitandaoni na mastaa wa jiji waliokuja kushuhudia namna Amarula…

Read More

Cheza Wild White Whale Ujishindie mizunguko ya Bure Kila Siku

Katika anga ya michezo ya kubashiri, Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa ni mwamba usiotetereka. Kwa sasa, inakuletea promosheni kabambe kupitia mchezo wa kasino unaotikisa wa Wild White Whale. Ni promosheni ya mwezi mzima iliyoanza tarehe 01 na itaisha tarehe 31 mwezi Septemba ikiwa imesheheni ushindi na zawadi za papo hapo. Kila mteja aliyesajiliwa na Meridianbet ana…

Read More