UGANDA CRANES YAZIDI KUSHUSHA PRESHA KWA ALGERIA KUNDI G

Timu ya Taifa ya Uganda β€˜The Cranes’ imeendelea kuweka hai matumaini ya kufuzu kombe la Dunia 2026 (WC 2026) baada ya kushinda mechi yake ya pili mfululizo ikiilaza Msumbiji 4-0 Septemba 5, 2025 kabla ya kuitandika Somalia 2-0.

Allan Okello ameendelea kung’ara akiwa na The Cranes baada ya leo pia kutupia dhidi ya Somalia kwa mkwaju wa penalti huku Jude Ssemugabi akifunga bao la pili katika dimba la Mandela, Kampala.

FT: Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ 2-0 πŸ‡ΈπŸ‡΄ Somalia
⚽ 06’:Okello (P)
⚽ 39’ Ssemugabi

FT: Guinea πŸ‡¬πŸ‡³ 0-0 πŸ‡©πŸ‡Ώ Algeria
FT: Guinea-Bissau πŸ‡¬πŸ‡Ό 2-0 πŸ‡©πŸ‡― Djibouti
FT: Madagascar πŸ‡²πŸ‡¬ 3-1 πŸ‡ΉπŸ‡© Chad
FT: Malawi πŸ‡²πŸ‡Ό 2-2 πŸ‡±πŸ‡· Liberia

MSIMAMO KUNDI G
1- πŸ‡©πŸ‡Ώ Algeria 19pts
2- πŸ‡ΊπŸ‡¬ Uganda 15pts
3- πŸ‡²πŸ‡Ώ Msumbiji 15pts
4 – πŸ‡¬πŸ‡³ Guinea 11pts
5- πŸ‡§πŸ‡Ό Botswana 9pts
6- πŸ‡ΈπŸ‡΄ Somalia 1pt