
MANCHESTER CITY YAMNASA KIUNGO CHIPUKIZI WA NORWAY, SVERRE NYPAN
Klabu ya Manchester City imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo chipukizi wa Norway, Sverre Nypan, kutoka klabu ya Rosenborg kwa ada ya uhamisho ya takriban Euro milioni 15. Nypan, mwenye umri wa miaka 18, anatajwa kuwa miongoni mwa vipaji vinavyoinukia kwa kasi barani Ulaya katika nafasi ya kiungo. Akiwa na uwezo wa kucheza kama kiungo mshambuliaji…