Kiungo wa Timu ya Wanawake ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Barbra Banda raia wa Zambia ameshinda Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2024 kwa upande wa Wanawake.
BARBRA BANDA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA KWA MWAKA 2024 KWA UPANDE WA WANAWAKE
