
FEI TOTO: BADO NINA NAFASI YA KUFANYA VIZURI YANGA
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka kuwa bado anaiona nafasi yake katika kikosi cha timu hiyo kutokana na malengo aliyojiwekea kwamba anahitaji kufanya vizuri zaidi ya sasa ikiwa ni msimu mpya wa 2021/22 umeanza kwa kasi kubwa. Fei Toto anayefundishwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameanza msimu huu vizuri huku akiwa kinara wa…