
PAPA FRANCIS AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 88
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo Jumatatu akiwa na umri wa…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88, hatua inayofunga ukurasa wa uongozi wake uliojaa changamoto, migawanyiko na juhudi za kulifanyia mabadiliko Kanisa hilo la miaka 2,000. Vatican imethibitisha taarifa hizo kupitia video iliyosambazwa kwa vyombo vya habari. “Ndugu wapendwa, kwa huzuni kuu nawasilisha taarifa ya…
Kabla sijakupa kisa cha miungu ya Kigiriki hususani mungu Zeus, unapaswa kuelewa kwamba kwa kutambua historia ya kale hususani ya Taifa la Ugiriki, Meridianbet kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni imekuletea mchezo wenye kubeba historia ya Kigiriki unaitwa Magnificient Power Zeus. Mchezo huu wa Kasino ya Mtandaoni upo upande wa sloti ya mtandaoni wenye njia…
Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake kile wanachokihitaji — BURUDANI na ZAWADI za ukweli! Kupitia promosheni yao mpya, sasa unaweza kujishindia Samsung A25 mpya kabisa kwa kucheza mechi zako za mpira kwenye Meridianbet. Kama wewe ni shabiki wa kandanda na unapenda kubashiri kwa ushindi, basi hii ni nafasi yako ya kipekee! JINSI YA KUSHIRIKI: ✅ Ingia…
SIMBA SC imekamilisha dakika 90 za mwanzo Uwanja wa Amaan kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini. Bao pekee la uongozi limefungwa na Jean Ahoua kwa pigo la faulo dakika ya 45 akitumia mguu wake wa kulia. Kwa matokeo…
BEKI wa Yanga, Israel Mwenda amesema kuwa ambacho wanahitaji kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate, Aprili 21 ni pointi tatu muhimu baada ya dakika 90. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza, Yanga ilipata ushindi wa mabao 5-0 mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Mwenda ambaye ni chaguo la kwanza…
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza mchezo dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa ni nusu fainali ya kwanza. Kikosi cha kwanza langoni yupo Moussa Camara, wengine eneo la ulinzi ni Chamou, Hamza Jr, Mohamed Hussen, Shomari Kapombe, kwa viungo ni Fabrice Ngoma. Jean…
KUELEKEA katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga, kiungo Aziz Ki kuna hatihati akaukosa mchezo huo Aprili 21 2025 kwa kuwa hayupo fiti Uwanja wa Tanzanite, Kwaraa. Mbali na Aziz Ki, Pacome naye hajarejea katika ubora huku Musonda Kennedy naye akibainisha kuwa anahisi maumivu kwa mujibu wa Kocha Mkuu…
SIMBA SC itakuwa kibaruani kusaka ushindi dhidi ya Stellenbosch FC ni mchezo wa nusu fainali ya wababe wawili 2024/25 kimataifa wakiwa na rekodi yakumfungashia virago bingwa mtetezi kwenye mashindano ya kimataifa kwa nyakati tofauti. Aprili 20 2025 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa uwanja wa New Amaan Complex huku Simba SC ya Tanzania ikiwa na rekodi yakumfangashia…
MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi kuwa wadau wanapaswa kujikita kwenye njia za kitaalamu kwa namna ya kuendesha sanaa ambapo Serikali inatengeneza mazingira kwa ajili ya kuboresha mazingira ili wafanye uwekezaji kwenye kazi zao kushindana kimataifa. Kuhusu Uwanja wa Mkapa, Msigwa ameweka wazi kuwa watafanya maboresho makubwa baada ya CHAN na kwa sasa…
SINGIDA Blac Stars, walima alizeti wamekomba pointi tatu mazima kwa ushindi mbele ya nyuki wa Tabora, Tabora United kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti, Singida. Mabao ya Singida Black Stars yamefungwa na Victorean Adebayo aliyefungua pazia la mabao dakika ya 21, Jonathan Sowah katupia mabao mawili ilikuwa dakika ya 52 na 86. Kwenye…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga, uongozi wa Fountain Gate umeweka wazi kuwa wanaimani kubwa kupata matokeo huku wapinzani wao Yanga wakiwa hawana nafasi yakufunga hata bao kwenye mchezo huo ni kupitia Ofisa Habari wa Fountain Gate, Issa Mbuzi.
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ambacho wanahitaji kwenye mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini ni ushindi mkubwa ambao utawapa tiketi ya kufuzu hatua ya fainali moja kwa moja kwenye dakika 90 za mwanzo. Timu hiyo chini ya benchi la ufundi linaloongozwa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids,…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wapo kamili kuwakabili wapinzani wao Fountain Gate kuelekea mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Aprili 21 2025. Tayari kikosi hicho kimesepa Bongo kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wao Manyara na mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa mzunguko…
Ikiwa ni Jumamosi ya wewe ndugu mteja kuondoka na kitita cha pesa pale Meridianbet, kampuni hiyo yenyewe leo hii imefika mpaka kata ya Mbezi Juu na kutoa msaada wa vifaa vya usafi. Mapema kabisa timu nzima ya Meridianbet ikiongozwa na Nancy Ingram ambaye ni Afisa Mahusiano wa kampuni hiyo, walifika katika Ofisi ya Diwani wa…
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa maamuzi tofauti kwa maofisa habari wa vilabu vya Yanga na Simba baada ya kupitia mashauri yaliyowasilishwa mbele yake. Katika kikao chake cha kupitia mashauri hayo, Kamati hiyo ilimkuta na hatia Ali Kamwe, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, kwa kosa la…
ISSA Mbuzi, Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa wapinzani wao Yanga kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili Aprili 21 hawatoki kwa kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuchukua pointi tatu muhimu.
NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu kama FA ambaye alikuwa ni mgeni rasmi kwenye Jambo Kubwa Kuliko East and Central Africa Aprili 16 2025 amesema kuwa ikiwa yaliyosemwa yatakuwa kwenye utekelezaji yataleta matokeo mazuri na kupunguza matumizi kwenye baadhi ya masuala ya viwanja. Mwinjuma amesema kuwa anaamini Simba SC ina nafasi…