
MOUNT ACHEKELEA KUWATUNGUA NORWICH
OKTOBA 23, Mason Mount nyota wa Chelsea mwenye miaka 22 aliandika rekodi yake tamu kwa kufunga hat trick mbele ya Norwich kwenye mchezo wa Ligi Kuu England jambo ambalo lilimpa tabasamu nyota huyo ambaye yupo chini ya Kocha Mkuu, Thomas Tuchel. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu England, ubao wa Uwanja wa Stamford Bridge ulisoma…