
Times FM kutangaza mubashara Kagame Cup
Msimu mpya wa kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi…
Msimu mpya wa kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo, Dar es Salaam, mechi hizo zikitarajiwa kutangazwa mubashara na kituo cha radio cha Times FM. Times FM imeingia ubia na Baraza la Soka Afrika Mashariki na Kati ( Cecafa) kutangaza mashindano hayo…
NYOTA Clatous Chama inatajwa kuwa amemalizana na Singida Black Stars kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuwa hapo msimu wa 2025/26. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Chama alikuwa ndani ya kikosi cha Yanga SC ambapo hapo mkataba wake umegota mwisho kwa kuwa alisaini mwaka mmoja. Alikuwa ni mchezaji wa kwanza kutangazwa kuwa Yaga SC akitokea…
SIMBA SC imezindua rasmi uzi wake mpya kuelekea msimu wa 2025/26 Agosti 31 2025 katika ukumbi wa Super Dome, Masaki na mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Gerson Msigwa. Msigwa amesema kuwa ni muhimu kwa mashabiki wa Simba SC kuhakikisha kuwa wanapata bidhaa original na sio feki kutokana na gharama kubwa…
Kwenye kasino mtandaoni, msisimko ni sehemu ya mchezo. Lakini Meridianbet imechukua msisimko huo hatua moja mbele na kuleta Happy Hour Zombie Apocalypse Free Spins, tukio linalowashirikisha wachezaji wote kwenye ulimwengu wa michezo na ushindi wa bure. Kila Jumanne na Alhamisi, watumiaji wanahamasishwa kujiunga na Zombie Apocalypse, mchezo unaochanganya adrenalin na mikakati ya ushindi. Lakini hapa,…
Klabu ya Chelsea imethibitisha kukamilisha usajili wa winga chipukizi wa Kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, akitokea Manchester United kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 46. Garnacho mwenye umri wa miaka 21, amesaini mkataba wa miaka 7 utakaomuweka Stamford Bridge hadi mwezi Juni mwaka 2032. Nyota huyo kijana ambaye ameibukia kwenye kiwango cha juu akiwa…
HATIMAYE Pamoja CHAN 2024 imegota mwisho na mabingwa wakiwa ni Morocco baada ya kuoata ushindi katika mchezo wa fainali, Agosti 30 2025. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Moi, Nairobi umesoma Madagascar 2-3 Morocco. Katika mchezo wa leo mabao ya Madagascar yamefungwa na Felly dakika ya 9 na bao la pili limefungwa na…
Chelsea imepata ushindi wa kwanza wa msimu katika dimba la Stamford Bridge kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham kwenye Derby ya Jiji la London. FT: Chelsea 2-0 Fulham ⚽ 45+8’ Pedro ⚽ 56’ Fernandez
Je unajua kuwa siku ya leo ni siku muhimu kwako kutengeneza jamvi lako la ushindi na Meridianbet?. Viwanja mbalimbali vitawaka moto leo huku nafasi ya wewe kuondoka na pesa ikiwa ni kubwa. Ingia na ubashiri hapa. BUNDESLIGA kuna mechi za kubashiri haswa, RB Leipzig atamkaribisha kwake FC Heidenheim ambao hawana pointi yoyote halikadhalika kwa mwenyeji…
WAKATI kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC kikitarajiwa kuanza Septemba 17 2025, kuna maboresho ya kanuni kwa timu ambayo haitafika uwanjani bila sababu itakayokuwa inakubalika na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) Ni Kanuni ya 31, kutofika uwanjani inasema hivi:- Timu yoyote itakayokosa kufika uwanjani bila ya sababu za msingi zinazokubalika kwa TPLB…
RATIBA ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC 2025/26 kwa sasa ipo wazi. Ni Septemba 17 2025 kivumbi kinarejea na mabingwa watetezi wakiwa ni Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz. Hii hapa ratiba ya mechi za Dabi ndani ya ligi kwa msimu wa 2025/26 namna hii:- Watani wa jadi Yanga SC na Simba…
MASHINE za kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/26 zimewasili ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz. Yanga SC ipo kambini Kigamboni kwa maandalizi ya msimu mpya ambapo mchezo wa ufunguzi ni Ngao ya Jamii unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC, Septemba 16 2025. Ni wachezaji…
Klabu ya Fenerbahçe ya Uturuki imetangaza kuachana na kocha wake, Jose Mourinho, ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu kujiunga na timu hiyo. Hatua hiyo inakuja siku mbili baada ya Fenerbahçe kutolewa kwenye hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Ulaya na klabu ya Ureno, Benfica. Kupitia taarifa rasmi, Fenerbahçe ilisema Mourinho na klabu wameafikiana kuvunja…
INATAJWA kuwa Simba SC imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya JKT Tanzania, Wilson Nangu kwa mkataba wa miaka miwili. Hivyo beki huyo aliyekuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga SC huenda msimu mpya wa 2025/26 akawa kwenye uzi wa Simba SC. Nangu amekuwa bora kwenye…
Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26 unatarajiwa kuanza rasmi Septemba 17, 2025 kwa michezo miwili ya ufunguzi. KMC FC wataikaribisha Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam, huku Coastal Union wakifungua pazia lao kwa kuvaana na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa…
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kimewasili salama Jijini Dar es Salaam alfajiri ya saa 11 kikitokea Misri ambako kiliweka kambi ya msimu ujao wa 2025/26. Baada ya kuwasili kikosi cha Simba SC kinatarajia kuanza maandalizi mapema kuelekea kwenye mchezo wa Simba Day unaotarajiwa kuchezwa Septemba 10 2025 Uwanja wa Mkapa….
KHALID Aucho kiungo wa zamani wa Yanga SC inatajwa kuwa amefikia makubaliano mazuri na Singida Black kuelekea msimu wa 2025/26. Kiungo huyo ni moja ya wachezaji waliowahi kufundishwa na Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa Singida Black Stars. Anajiunga na Singida Black Stars ambayo inapeperusha bendera ya Tanzania kimataifa kwenye Kombe la…
Ikiwa leo hii ni Ijumaa ya mwisho wa mwezi August, Meridianbet kama kwaida walifanya CSR kurejesha kwa jamii na safari hii walijikita kwenye kusaidia watu wenye ulemavu wa macho kwa kuwapelekea msaada wa White Cane au fimbo za kutembelea. Kama tunavyojua kuwa binadamu tumezaliwa na changamoto mbalimbali za kimwili basi ndivyo ambavyo walemavu wa macho…