
MZEE WA KUCHETUA BM APIGWA ‘STOP’SIMBA
MZEE wa kuchetua ndani ya kikosi cha Simba, Bernard Morrison amepigwa ‘stop’ kucheza faulo za akiwa kwenye mazoezi kwa wachezaji wengine ili kuepusha maumivu yasiyokuwa na lazima. Novemba 16 kwenye mazoezi ya Simba yaliyofanyika Uwanja wa Boko Veteran, Morrison alikuwa ni miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa kwenye mazoezi hayo chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco,…