
ARSENAL YAPIGWA 4G
KLABU ya Liverpool imeishushia kichapo cha mabao 4-0 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa Uwanja wa Anfield. Mabao ya Sadio Mane dakika ya 39,Dogo Jota dakika ya 52,Mohamed Salah dakika ya 73 na Takumu Minamino dakika ya 77 yalitosha kuituliza Arsenal. Ni jumla ya mashuti 19 ambayo Liverpool ilipiga huku 9 yakilenga lango katika…