LEO Novemba 20, kikosi cha Yanga kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu.
Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kikosi kinatarajiwa kuanza kusaka pointi tatu muhimu, hiki hapa kikosi ambacho kinaweza kikaanza:-
Djigui Diarra
Abdalah Shaibu
Kibwana Shomari
Dickson Job
Bakari Mwamnyeto
Yannick Bangala
Tonombe Mukoko
Jesus Moloko
Said Ntibanzokiza
Feisal Salum
Fiston Mayele
Kwa mujibu wa Dizo Click