YANGA YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA NAMUNGO
KIKOSI cha Yanga kimelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Ilulu. Bao la Namungo limefungwa na Obrey Chirwa dakika ya 53 na bao la kusawazishwa kwa Yanga lilifungwa na Said Ntibanzokiza dk 82 kwa penalti. Inakuwa ni sare ya kwanza kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine…