SIMULIZI YA MZAZI ALIYEKUWA NA MAWAZO KISA UWEZO WA WATOTO

SIMULIZI ya mzazi aliyekuwa na mawazo kisa uwezo wa watoto kuporomokaghafla
Ni furaha ya kila mzazi kuona watoto wakifaulu maishani na kuweza kunawiri na kujiendeleza maishani mwake bila mtafaruku wowote, yote hayo yalionekana kutoweza
kutimia kwa watoto  ambao walikuwa ni Juma na Halima wenye miaka 10, na 13

Walikuwa wachangamfu na kunipa matumaini ya kuweza kuwa machachari shuleni na kuelewa masomo shuleni bila kutatizika, lakini yote hayo yalikuwa ndoto ya muda mfupi baada ya kuanza
masomo yao wakiwa kwenye shule ya chekechea, walipotimia miaka minne na mitano.

Walipelekwa shule ya chekechea kuweza kuanza masomo ya msingi, walikuwa wenye furaha na wachangamfu mno siku za kuanza jambo ambalo lilimfurahisha mwalimu wa shule ya chekechea huyo, aleyeahidi kuweza kuwasaidia kwa vyovyote vile ili
waweze kutimiza ndoto zao maishani, mara kwa mara niliweza kuwasiliana na walimu shuleni kuweza kutaka kujua walivyokua wakiendelea na masomo yao.

Kwa upande mwingine baba yao mzazi ambaye ni mume wangu alijituma kwa bidii za mchwa kuweza kutafuta karo ya kuweza
kuwezesha masomo yao, waliweza kuyamaliza masomo yao ya chekechekea vyema na kuhitimu kujiunga na shule ya msingi moja jijini Nairobi kwa muhula wa kwanza walipata vyema jambo
ambalo lilitufurahisha sisi kama wazazi wao.

Ghafla wakaanza kurudi na matokeo mabaya, tulishidwa nini kilichotendeka hivyo miye kama mama mzazi nikaamua kuenda shuleni mwao kuweza kuwauliza waalimu mbona watoto wangu
walikuwa na matokeo mabaya, niliweza kupata kikao cha saa moja moja na mwalimu wao wa
darasa, aliyenifahamisha pia naye haelewi mbona watokeo yao yalikuwa yamedorora hivyo,
alilalama kuwa hawakuwa wanaelewa chochote walichokuwa wanafunzwa.

Aliweza kunipa ahadi ya kujaribu kadri ya uwezo wake kuweza kuona wamerejea kupata matokeo mema
masomoni kutokana na ahadi hiyo aliamua kumlipa mwalimu huyo kuweza kuwapa masomo ya ziada kwa kuwa
alidhani ya kwamba muda wa mafunzo darasani ulikua mchache mno kuwawezesha kuelewa
kwa ufasaha, hayo yote yalionekana kugonga mwamba kwani matokeo yao ya mwisho wa
muhula hayakunipendeza.

Wana hao waligeuka na kuwa limbukeni hawakuelewa chochote kile, walilazimika kurudia darasa la kwanza mwakani, kwa kuwa sheria za shule zilikuwa zinawaruhusu walioupasi mtihani
kuweza kuenda darasa lifwatalo, walinipa aibu kuu nisijue cha kufanya, Mume wangu alikua
mwenye kuleta vurugu mara kwa mara na kusingizia kuwa watoto hao walikuwa wameifwata akili yangu ama moja ya wanafamilia wangu na alitufukuza kwake
nisijue pa kuenda nao.

Kwa Neema za Mwenyezi mungu niliweza kupata usaidizi kwa moja wa daktari wa miti shamba “kiwanga doctors” niliyepatana naye na kumweleza yote kuhusu watoto
wangu, aliniarifu kuwa walikua wanafuatwa na laana za kifamilia na kuwa ameziondoa, wana
hao waliweza kurejea masomo yao vyema na kusoma hadi chuo kikuu, kwa sasa moja ni
daktari mwingine ni rubani, mume wangu aliweza kunirudisha nyumbani na kuniomba msamaha
kwa yote.

Namshukuru daktari kiwanga kwa yote alionitendea na kuniondolea aibu,pia anatatua tiba ya matatizo mbalimbali.

www.kiwangadoctors.com ama waweza kutuam barua pepe kwa kiwangadoctors@gmail.com
pia waweza kumpigia simu kwa nambari +254 769404965.