
TANZANIA YASHUKA VIWANGO FIFA
TANZANIA imeshuka nafasi moja kutoka 130 hadi 131 katika viwango vya ubora wa soka vilivyotolewa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, Fifa jana. Huenda kufanya kwao vibaya katika michezo miwili ya mwisho ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waliofungwa mabao 3-0 na sare ya bao 1-1…