
MASTAA WA ENGLAND WATAWALA TUZO ZA FIFA
MAJINA ya mastaa ambao wanacheza ndani ya Ligi Kuu England wameweza kupenya majina yao kwenye suala la kuwania tuzo ya mchezaji bora wa FIFA katika orodha ya wachezaji 11. Ni Mohamed Salah raia wa Misri anayecheza ndani ya Liverpool,Kevin De Bruyne mali ya Manchester City na Cristiano Ronaldo mshambuliaji wa Manchester United pia yupo N’Golo…