SIMULIZI ya kuhusu aliyepotea kwa muda usiojulikana kisa fedha:-
Alhamisi moja kunako mwaka wa 2002, nilipokuwa nafanya kazi ya kuungaunga katika kampuni moja ambapo ilinilazimu kuamka mapema sana ili kuhakikisha kwamba nawahi stendi
ambapo wafanyikazi walichakuliwa watakaopata kibarua siku ile.
Siku yenyewe ilikucha kwa mbwembwe kwelikweli kiasi cha kuonekana yenye nyota njema.Katika harakati
zangu za kupitapita mtaani Kigoma pale,nilshtukia nimekabwa shingoni na watu ambao
sikuwajua kabisaa maana ilikuwa mida ya saa kumi alfajiri.
Walinitishia kwa bunduki katika zile harakati za kupambana nao,ambapo ilinibidi nitulie nisije nikapoteza uhai kwa kutetea
chochote nilichokuwa nacho.
Kwa utulivu ule walinifunga mikono pamoja na macho ili nisiweze kuwatambua kabisa.Walinitia kwenye gari lao ndogo walilokuwa nalo na kuniongoza ambapo sikupajua.
Ilikuwa ni safari ndefu ya takribani masaa saba bila kuona wala kujua niliko.Baada ya safari hiyo gari lilisimama na
nikatolewa na kuelekezwa kwenye mgodi mmoja uliojaa giza totoro.
Sikuweza kujua tofauti ya nilipokuwa nimefungwa na baada ya kufunguliwa.Ni suala ambalo lilinitia kiwewe sana kwani
sikuweza kuelewa sababu ya wao kuyafanya walioyafanya kuniteka nyara.
Walipigia familia yangu simu na kuwaagiza watume kima cha shilingi Millioni mbili na nusu.Jamani nilijiuliza maswali mengi sana nisipate majibu kwani familia yangu ilikuwa ni familia yenye ulofa
wa ajabu kiasi kwamba kupata chakutia kinywani ilikuwa shida.
Sikupewa hata fursa ya kuweza kusemezana na wazazi wala mtu yeyote wa jamii yangu.Nilihangaishwa kwa takribani
siku nane sehemu ambazo mpaka leo sijawahi kujua nilikokuwa.
Wazazi wangu upande wa pili mawazo yamewajaa hawana mbele wala nyuma wasione mwanga,na wasijue iwapo nipo
mzima ama nishatolewa uhai na wahuni wale.
Ilifikia kiwango kwamba wakaanza kuchangisha fedha ilmradi niweze kurejea nyumbani siku
moja maana walikuwa tayari wamekata tamaa.
Baada ya siku nne za mchango,waliweza kupata shilingi laki mbili na nusu pekee.Kwa vile mkono mtupu siku zote
haulambwi,walipiga ile nambari ya wale vimada na kujaribu kuwaeleza hela walizokuwa nazo
kwa muda ule lakini waligoma kwa muda kabla ya baadae kukubali kima kile.
Wazazi wangu walidhani yamekwisha na kwamba mwanao angeachwa huru lakini mambo yakawa ndivyo
sivyo,kwani walikula pesa bila hata kuniwacha huru wala kuniwezesha kusema na jamii yangu.
Suala hili liliwakosesha wazazi wangu usingizi sana wasiweze hata kujisaidia kwa lolote
tena,kwani jamii ilichukulia kuwa fedha walizochanga hawakupewa wahusika kwani sikuwa nimeachwa huru.
Kuna mtu aliwaambia kuhusu Kiwanga doctors anayeweza kutibu maradhi mbalimbali na akamwagiza ajaribu labda
huenda angepata suluhu ya matatizo yake.
Lakini mama mzazi hakuweza kumuelewa kabisa
wakati ule lakini rafikiye yule alizidi kufuatilia kuona kuwa amejaribu daktari huyo kwani aliamini
pana mwanga kwake.
Kutokana na msukumo wa yule mwanadada,aliazimu kujaribu shingo upande tu bila hata matumaini ya kuwa lingetokea lolote jema.
Daktari alimpa siku mbili ambapo baada ya hapo wale wahuni wenyewe walinirejesha mpaka nyumbani kwetu na
kuomba msamaha sana na hata kulipa hela walizotumiwa mara dufu.
Wazazi wangu waliwasamehe kwani hawakutaka kulipa uovu kwa uovu.Kiwanga doctors wana uwezomambo mengine kadhalika.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia +254 769404965
E-mail:kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti www.kiwangadoctors.com.