
GSM WASAINI DILI LA KUIDHAMINI LIGI KUU BARA
KAMPUNI ya GSM leo Novemba 23 imeingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF). Mkataba huo unathamani ya bilioni mbili pointi moja,(2.1) ambao ni wa muda wa miaka miwili kwa ajili ya kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara. Kwa mujibu wa Injinia Hersi Said ambaye ni Mkurugenzi wa Masuala ya Uwekezaji…