>

LIGI YA MABINGWA NA EUROPA KUENDELEA WIKI HII

Wiki hii tunarejea kwenye muendelezo wa michezo ya Ligi ya Mabingwa na Europa barani Ulaya. Ni burudani ya soka ngazi ya vilabu kwa miezi 3 mfululizo! Mambo yapo hivi;

 

Manchester United kuanza maisha mapya bila ya Ole Gunnar Solskjaer baada ya kocha huyo kuondolewa klabuni hapo. United watasafiri kuwafuata Villarreal katika mchezo wa 5 hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa. Kwa namna yeyote, United hatakiwi kupoteza mchezo huu ili kujihakikishia kufuzu hatua ya mtoano. Watafanikiwa wakiwa chini ya Michael Carrick kama kocha wa muda? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.45 kwa United.

 

Chelsea watakuwa darajani [Stamford Bridge] kupambana na Juventus. Vigogo wawili wa kundi H kupepetana ndani ya dakika 90. Ni Paulo Dyabala au Kai Havertz kuondoka na pointi 3 za ushindi? Mdhamini shujaa wako kwa kuifuata Odds ya 1.71 kwa Chelsea ndani ya Meridianbet.

 

Jumatano hii, Atletico Madrid watachuana na AC Milan kunako UEFA Champions League. Milan wanahali mbaya kwenye mashindano haya msimu huu, wameambulia vipigo kwenye michezo ya awali, watatoboa? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.62 kwa Atletico Madrid.

Manchester City ya Pep Guardiola watakuwa pale Etihad Stadium wakimualika Mauricio Pochettino akiwa na vijana wake wa PSG. Huu ni mchezo wa kulipiza kisasi baada ya City kushinda mchezo wa kwanza kule Paris, Ufaransa. Kisasi kitalipwa au ubabe utaendelezwa? Tumekuwekea Odds ya 1.67 kwa City ndani ya Meridianbet.

 

Alhamisi tutaangalia mtanange wa kibabe kunako Europa League. Kule kutachezwa mchezo wa AS Monaco vs Real Sociedad. Pointi 2 ndio tofauti ya timu hizi kwenye msimamo wa kundi lao katika nafasi ya 1 na 2. Zitapatikana pointi za kupunguza/kuongeza wigo? Odds ya 2.55 ipo kwa Monaco kupitia Meridianbet.

Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote!