
SIMBA HAITAKI KUTESEKA
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa hataki kuteseka kwa kupoteza kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Red Arrows ya Zambia ambao ni wa marudio. Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ambapo mshindi wa jumla atatinga hatua ya makundi. Simba inakumbuka kwamba mchezo wa kwanza ilishinda mabao 3-0 Uwanja…