
LEWANDOWSKI KUPEWA TUZO YAKE YA BALLON D’OR
ISHU ya tuzo ya Ballon d’Or imezua sura mpya ambapo kwa sasa inaelezwa kuwa Robert Lewandowski anaweza kupewa tuzo yake ambayo alikuwa anastahili. Wachambuzi wengi wa masuala ya michezo duniani walikuwa wakihoji kwa nini tuzo hiyo mwaka 2021 iende kwa Lionel Messi licha ya mafanikio makubwa ambayo alipitia Lewandowski. Lewandowski aliweza kufunga jumla ya mabao…