
KUANZIA MADRID HADI UINGEREZA, BURUDANI NA USHINDI
Wikiendi bomba kabisa ya ushindi inaanzia kule Hispania, kwenye dabi ya Madrid, wakati Real Madrid anapovaana na Atletico Madrid. Hii inakuwa ni mara ya 169 wababe hawa kukutana kwenye La Liga, Real akishinda mara 89 na Atletico mara 39. Meridianbet wamekuwekea odds bomba kwa wapinzani hawa wa jadi. Huku EPL Vinara wa kundi Manchester…