KUANZIA MADRID HADI UINGEREZA, BURUDANI NA USHINDI

Wikiendi bomba kabisa ya ushindi inaanzia kule Hispania, kwenye dabi ya Madrid, wakati Real Madrid anapovaana na Atletico Madrid. Hii inakuwa ni mara ya 169 wababe hawa kukutana kwenye La Liga, Real akishinda mara 89 na Atletico mara 39. Meridianbet wamekuwekea odds bomba kwa wapinzani hawa wa jadi.

 

Huku EPL Vinara wa kundi Manchester City wanavaana na Wolverhampton wikiendi hii, wakiwa wamepania kujisimika vyema kileleni kwenye Ligi Kuu. Wolves wanafurukuta kumaliza wikiendi wakiwa wamejikwamua kwenye nafasi ya nane. Odds 5.00 kwa Man City kushinda kwa 2-0.

 

Washika bunduki Arsenal wanawawashia moto Southampton Jumamosi hii. Baada ya kupoteza mechi tatu katika gemu zao 5 zilizopita, Arsenal wanataka kurekebisha makosa. Southampton watafanya maajabu? Norwich City wanawaleta nyumbani Mashetani Wekundu wakiwa na njaa baada ya kupoteza gemu 2 zilizopita za EPL.  Meridianbet wamekuwekea odds 6.60 Arsenal kuambulia sare, na odds 1.45 kwa Man United kuondoka na ushindi ugenini.

 

Chelsea akifanya makosa wikiendi hii anajiweka mbali zaidi na mabingwa watetezi katika kuwania taji la Ligi Kuu msimu huu, Leeds ana kibarua kikubwa kuondoka na ushindi ugenini. Liverpool pia wanahitaji kuwika dhidi ya Aston Villa wakisaka kupunguza gepu la pointi dhidi ya City. Tupa karata yako kwa Leeds kupata magoli vipindi vyote kwa odds 9.40, pia mpe ushindi Liverpool wa 2-1 kwa odds ya 8.20.

Jumapili hii Leicester City anakutana na Newcastle United, mwenyeji amejikuta akilazimisha sare mbili na ushindi mmoja kwenye gemu tano zilizopita za ligi, huku mgeni wake akipania kujiondoa kwenye mstari mwekundu kushuka daraja. Burnley pia akiwa nafasi ya 18 anamsogeza ugenini West Ham United anayetaka kujisimika vyema kwenye nne bora wikiendi hii. Ushindi kwa Leicester anakupa odds 1.7.  West Ham akikuhakikishia odds 2.06 kushinda mechi hii.

 

Una nafasi ya kufanya machaguo mengi zaidi na ligi kibao unazopenda kupitia tovuti www.meridianbet.co.tz au Application ya simu ya Meridianbet. Furahia kubashiri na mabingwa!

 

 

Meridianbet, Uhakika wa Odds Bora na Bonasi Kubwa!