IMEISHA HIYO KWA MKAPA, SIMBA 0-0 YANGA

DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa na ngoma kuwa nzito kwa timu zote ambapo zimegawana pointi mojamoja. Mpaka mwamuzi wa kazi Herry Sasii anapuliza filimbi ya mwisho kukamilishwa ngwe ya dakika 90 hakuna mbabe kwenye mchezo wa leo. Yanga inaendelea na rekodi yake ya kucheza mechi ya nane bila kufungwa huku Simba ikiikwama kuivunja rekodi…

Read More

DAKIKA 45,SIMBA 0-0 YANGA

UWANJA wa Mkapa leo Desemba 11 inachezwa Dabi ya Kariakooo ambapo kwa sasa muda ni mapumziko. Mpaka dakika 45 za awali zinameguka ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Simba 0-0 Yanga. mchezo wa leo ushindani ni mkubwa ambapo timu zote zimekuwa zikipambana kusaka ushindi ila milango ni migumu. Feisal Salum eneo la kati limekuwa mali…

Read More

RASMI KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA YANGA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukiongoza kikosi chake leo kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Yanga. Hiki hapa kikosi chake rasmi ambacho kitaanza Uwanja wa Mkapa:- Aish Manula Shomar Kapombe Hussein Onyango Joash Mkude Jonas Kibu Dennis Kanoute Kagere Morrison Hassan Dilunga   Akiba Kakolanya Israel Kennedy Nyoni Erasto Mzamiru Banda Bocco Bwalya…

Read More

KIKOSI CHA YANGA RASMI KITAKACHOANZA DHIDI YA SIMBA

LEO ni Desemba 11,2021 saa 11:00 jioni mchezo wa ligi kati ya Simba na Yanga unatarajiwa kuchezwa. Hiki hapa kikosi cha Yanga ambacho kinatarajiwa kuanza:- Diarra Djigui Djuma Shaban Dickson Job Kibwana Shomari Bakari Mwamnyeto Jesus Moloko Bangala Yannick Aucho Khalid Feisal Salum Fiston Mayele Said Ntibanzokiza Akiba Johora Yassin Bryson Mauya Makambo Kaseke Yusuf…

Read More

KOCHA:SIMBA ITAFUNGWA NA YANGA

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya Morocco, Florent Ibenge, ameitabiria Yanga kuondoka na ushindi mbele ya Simba katika mchezo wa dabi ya Kariakoo utakaochezwa leo Jumamosi katika Uwanja wa Mkapa,Dar. Ibenge ambaye aliwahi kuwa Kocha Mkuu wa AS Vita na timu ya taifa ya DR Congo, analifahamu vyema soka laTanzania akiwa amewahi kukutana na Simba na Taifa Stars. Kocha huyo ndiye anayewafundisha viungo wa zamani wa timu hizo, Clatous Chama na…

Read More

YANGA YAWASHUSHA PRESHA MASHABIKI

MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha, amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kuelekea kwenyemchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa leo Jumamosi, Uwanja wa Mkapa huku akiweka bayana wataibuka na pointi tatu. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa KariakooDabi ukiwa mchezo wa kwanza kukutana kwa msimu huu kwenye ligi. “Hakuna sababu ya kuwa na presha unajua mchezo wetu…

Read More

ALIYEWATUNGUA YANGA HAYUPO LEO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Kariakoo, Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa leo,Desemba 11,2021 yule aliyewatungua Yanga hayupo kabisa kwenye mipango ya kocha. Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco atakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Yanga huku akiwa na wachezaji wengine kabisa na atakosa huduma ya nyota wake anayeshikilia rekodi ya…

Read More

MWAMUZI WA SIMBA V YANGA LAZIMA JITU LIPIGWE

PILATO wa mchezo wa Desemba 11 ambao ni mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Simba v Yanga ni kiboko kwa kuwa kwenye mechi zote ambazo alihusika kwenye orodha ya waamuzi ilikuwa ni lazima jitu lipasuke. Kwa msimu wa 2021/22, Elly Sasii ambaye ameteuliwa kuwa mwamuzi wa kati ameweza kuwa kwenye orodha za waamuzi katika mechi…

Read More

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA SIMBA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba anahitaji pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Leo ni Desemba 11,2021 saa 11:00 jioni mchezo huo unatarajiwa kuchezwa huku kete za Nabi zikitarajiwa kupangwa namna hii mbele ya Simba:- Diarra Djigui Djuma Shaban Dickson Job Kibwana Shomari Bakari Mwamnyeto Jesus…

Read More

HILI HAPA JESHI LA SIMBA LITAKALOANZA DHIDI YA YANGA

NI saa kwa sasa zinahesabika kabla ya mchezo wa Dabi kati ya Simba v Yanga kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Saa 11:00 jioni mchezo wa leo unatarajiwa kuchezwa ambapo timu zote zimeweka wazi kwamba zipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco inatarajiwa kuanza…

Read More

NTIBANZOKIZA AWATAMANI KWELI SIMBA KWA MKAPA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ amesema kuwa anatamani kuanza katika mchezo unaofuata dhidi ya Simba huku akiweka wazi kuwa matarajio yake ni kuipa ushindi timu hiyo katika mchezo huo muhimu. Yanga inatarajiwa kumenyana na Simba katika mchezo wa ligi kuu unatorajiwa kufanyika leo Desemba 11, mwaka huu katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo…

Read More

PAMBA SC KUSHUSHA MAJEMBE YA KAZI

UONGOZI wa Pamba SC yenye maskani yake Mwanza umeweka wazi kwamba utaongeza majembe mapya ya kazi kwenye usajili wa dirisha dogo. Usajili wa dirisha dogo unatarajiwa kufunguliwa Desemba 15 kwa ajili ya timu kuweza kufanya usajili ili kuweza kuongeza nguvu kwenye timu zao. Kwa mujibu wa Katibu wa Pamba SC, Jonson James amesema kuwa watasajili…

Read More

SIMBA WAPIGWA MKWARA, WAAMBIWA WASUBIRI

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho, amesema kuwa hataki kuuzungumzia mchezo wa Kariakoo Dabi na kikubwa yeye anataka kuonyesha ubora na uwezo wake uwanjani kesho Jumamosi.   Hiyo ni katika kuelekea mchezo ujao wa dabi utakaozikutanisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar. Mganda huyo alikuwa nje ya uwanja kwa wiki moja…

Read More