NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba anahitaji pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Leo ni Desemba 11,2021 saa 11:00 jioni mchezo huo unatarajiwa kuchezwa huku kete za Nabi zikitarajiwa kupangwa namna hii mbele ya Simba:-
Diarra Djigui
Djuma Shaban
Dickson Job
Kibwana Shomari
Bakari Mwamnyeto
Jesus Moloko
Bangala Yannick
Aucho Khalid
Feisal Salum
Fiston Mayele
Said Ntibanzokiza