NI saa kwa sasa zinahesabika kabla ya mchezo wa Dabi kati ya Simba v Yanga kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Saa 11:00 jioni mchezo wa leo unatarajiwa kuchezwa ambapo timu zote zimeweka wazi kwamba zipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa.
Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco inatarajiwa kuanza na kikosi hiki kusaka pointi tatu muhimu:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Pascal Wawa
Joash Onyango
Zimbwe
Mzamiru Yassin
Jonas Mkude
Rally Bwalya
Hassan Dilunga
Meddie Kagere
Bernard Morrison