LEO ni Desemba 11,2021 saa 11:00 jioni mchezo wa ligi kati ya Simba na Yanga unatarajiwa kuchezwa.
Hiki hapa kikosi cha Yanga ambacho kinatarajiwa kuanza:-
Diarra Djigui
Djuma Shaban
Dickson Job
Kibwana Shomari
Bakari Mwamnyeto
Jesus Moloko
Bangala Yannick
Aucho Khalid
Feisal Salum
Fiston Mayele
Said Ntibanzokiza