
MABINGWA WA KOMBE LA FA SIMBA KAZINI LEO
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Simba leo Desemba 14 wanatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya tatu ya kombe hilo. Ikiwa inanolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya JKT Tanzania inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ambayo kwa sasa inaitwa Championship. Mchezo huo…