
SIMBA V YANGA MATOKEO MSIBEBE MFUKONI
PRESHA kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Desemba 11, ambao ni wa watani wa jadi wanakutana kusaka pointi tatu muhimu. Mashabiki wanahitaji kuona matokeo chanya kwa timu zao na mshindi ni yule ambaye atafanya maandalizi mazuri kwa wakati huu. Ipo wazi kwamba utakuwa ni mchezo wenye…