>

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA V RED ARROWS WAKIJICHANGANYA WANAPIGWA

IKIWA wachezaji wa Simba ambao wamepewa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza huku kwa kichwa zilipo akili wakiamini kwamba wamemaliza kazi kuna anguko la pili sasa litakwenda kutokea.

Hiki hapa kikosi kitakachoanza baada ya mchezo wa kwanza Uwanja wa Mkapa kushinda mabao 3-0.

Aishi Manula
Israel Mwenda
Hussein Mohamed
Henock Inonga
Pascal Wawa
Jonas Mkude
Hassan Dilunga
Sadio Kanoute
Meddie Kagere
Rally Bwalya
Bernard Morrison

Akiba ni

Kakolanya
Kapombe
Gadiel
Onyango
Erasto Nyoni
Banda
Mzamiru
Bocco
Ajibu5