KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ameteua wachezaji 23 ambao wataingia kambini Desemba 6, kesho kwa ajili ya kufanya maandalizi kwa mchezo wa kirafiki.
Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya kusherehekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika na itakuwa dhidi ya Uganda.
Metacha Mnata
Haroun Mandanda
Musa Mbisa
Nathaniel Chilambo
Kevin Kijiri
Hans Masoud
Nickson Kibabage
Oscar Masai
Abdulazack Mohamed
Lusajo Mwaikenda
Mangalo
Nashoon Naftali
Tariq Simba
Sospeter Bajana
Hassan Nassoro
Abdul Hamis
Meshack Abraham
Cleophance Mkandala
Denis Nkane
Rashid Juma
Vitalis Mayanga
Anuary Jabir
Lusajo