Friday, April 26, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7693 POSTS 0 COMMENTS

MTAMBUE STRAIKA MPYA YANGA AMBAYE AMEMTAJA CHAMA

0
SPOTI Xtra Jumanne Juni 7,2022 linamzungumzia Straika mpya Yanga ambaye amemtaja Chama

VIDEO:HAJI MANARA KUOMBA MBINU KWA SIMBA

0
HAJI Manara, Mtanzania ambaye ni balozi wa Timu ya Taifa ya Burundi, leo Juni 6,2022 amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon...

BREAKING:BIASHARA UNITED YAVUNJA BENCHI LA UFUNDI

0
RASMI uongozi wa Biashara United umevunj benchi la ufundi kutokana na mwendo mbaya wa timu hiyo. Ni Vivier Bahati, aliyekuwa Kocha Mkuu wa iashara United...

KUMUONA GEORGE MPOLE,SAMATTA BUKU 3

0
 BAADA ya kupata sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Niger nchini Benin sasa hesabu za timu ya Taifa ya Tanzania ni kuelekea kwenye...

BURUNDI KUCHEZA NA CAMEROON UWANJA WA MKAPA

0
TIMU ya Taifa ya Burundi inatarajia kukabiliana na Timu ya Taifa ya Cameroon katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Juni 9,2022. Kuelekea...

KAZI INAENDELEA KWA TIMU ZA TAIFA,MUHIMU MIPANGO

0
WAMEANZA kwa mwendo mzuri wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars kwenye mchezo wao wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Niger. Sare ya kufungana...

MWENDO WA CHICO USHINDI YANGA UPO HIVI

0
WAKUMUITA Chico Ushindi ni kiungo ambaye ni mali ya Yanga akiwa anatimiza majukumu yake anayopewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Tupo naye leo kwenye mwendo...

SALAH AINGIA ANGA ZA BARCELONA

0
IMEELEZWA kuwa Barcelona imewasiliana na Mohamed Salah ili waweze kupata saini yake ndani ya kikosi hicho. Mshambuliaji huyo raia wa Misri amebakiza mwaka mmoja kumaliza...

MRITHI WA PABLO APEWA MASHARTI MAZITO

0
IKIWA kwa sasa Simba wanasaka nafasi ya mrithi wa Pablo Franco aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, mabosi wa timu hiyo wamebainisha kwamba kocha...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu

TANZANIA YAFUNZU KOMBE LA DUNIA

0
TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls leo Juni 5,2022 imeweza kukata tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia kwa ushindi...

SIMBA KUMSHUSHA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAZI

0
IMEELEZWA kuwa Sh 800Mil alizoweka Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ kwa ajili ya usajili, zimeanza na mshambuliaji wa Orlando Pirates ya...

UWANJA WA AMAAN:TANZANIA 0-0 CAMEROON

0
LEO Juni 5,2022 timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 inacheza mchezo wa marudio kuweza kuwania kufuzu Kombe la Sunia. Mchezo wa kwanza...

POGBA KUVUTA MKWANJA MREFU UNITED

0
IMEFICHUKA kuwa Paul Pogba ataondoka na bonasi ya pauni milioni 3.78 (Sh bilioni 11) atakapoachana na Manchester United mara baada ya mkataba wake kufikia...

MIPANGO MIKUBWA YA USAJILI YANGA NI KIMATAIFA

0
 UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umeweka wazi kuwa msimu ujao malengo yao ni kufanya vizuri kwenye michuano ya ndani na ile ya kimataifa wanayotarajia...

NAMNA YA KUCHEZA, NA KUSHINDA KENO MERIDIANBET!

0
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Huu ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye...