Home Sports UWANJA WA AMAAN:TANZANIA 0-0 CAMEROON

UWANJA WA AMAAN:TANZANIA 0-0 CAMEROON

LEO Juni 5,2022 timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 inacheza mchezo wa marudio kuweza kuwania kufuzu Kombe la Sunia.

Mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini, U 17 ya Tanzania ilishinda kwa mabao 4-1 hivyo leo wanakamilisha dk 90 za mchezo wa pili.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika na imekuwa Tanzania U 17 0-0 Cameroon, U 17,((Agg 4-1)) Uwanja wa Amaan.

Mchezo ulichelewa kuanza kutokana na baadhi ya mambo kutokwenda sawa.

Previous articleJIMMY KINDOKI: ENG.HERSI ANAFAHA KUWA RAIS WA YANGA – VIDEO
Next articleSIMBA KUMSHUSHA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAZI