Al Ahly vs Yanga SC, Januari 23,2026

Al Ahly vs Yanga SC CAF Champions League ni Januari 23,2026 ambapo wababe hawa wawili wanatarajiwa kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu hatua ya makundi. Msafara wa Yanga SC umeshatia timu Misri kwa maandalizi ya mwisho chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves akiwa na wachezaji wapya miongoni mwao ni Depu na Allan Okelo. Goncalves ameweka…

Read More

Waziri Makonda Afanya Mazungumzo na Rais wa FIFA Gianni Infantino Morocco

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA) Bw. Gianni Infantino katika ofisi za FIFA zilizopo Jijini Rabat, nchini Morocco. Katika mazungumzo hayo Mheshimiwa Makonda amemshukuru Bw. Infantino kwa ushirikiano mkubwa anaoutoa kwa Tanzania katika maendeleo ya mchezo wa mpira wa…

Read More

Meridianbet na Kalamba Games, Burudani Mpya ya Kasino Mtandaoni Imefika

Wapenzi wa kasino, sasa ni wakati wa kushuhudia mapinduzi ya kweli mtandaoni. Meridianbet imeungana na Kalamba Games, kampuni ya kimataifa inayojivunia ubunifu wa sloti zenye teknolojia ya hali ya juu, kuleta burudani isiyo na kikomo kwa wachezaji. Ushirikiano huu unakuja na michezo yenye muonekano angavu na sauti zinazochangamsha hisia, zikifanya kila mzunguko uwe kama tukio…

Read More

Simba SC yamtambulisha Kibabage

RASMI Januari 19, 2026 Simba SC imemtambulisha mchezaji mpya katika dirisha dogo ambaye ni beki Nickson Kibabage. Kibabage anatambulishwa na Simba SC akitokea Klabu ya Singida Black Stars alipokuwa mwanzo wa msimu wa 2025/26. Taarifa rasmi iliyotolewa mapema na Singida Black Stars ilibainisha kuwa wamefikia makubaliano na Simba SC ambapo wanamtoa mchezaji huyo bila malipo…

Read More