SIMBA YAFUNGUKIA UGUMU WA BRAVOS
SIMBA inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imeweka wazi kuwa inakwenda kukutana na mpinzani mgumu ndani ya dakika 90 kutokana na mwendo wake wa kupata matokeo mazuri kwenye mechi za nyumbani ndani ya Kombe la Shirikisho Afrika. Wakiwa na kumbukumbu ya kupata matokeo chanya kwenye mchezo waliocheza nao Bravos, Uwanja wa Mkapa Novemba 24 2024…