CHE MALONE AWAOMBA RADHI MASHABIKI WA SIMBA
Beki wa kimataifa kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Januari 14, 2025 amewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya likiwemo lililoigharimu Simba Januari 13, 2025 nchini Angola dhidi ya Bravos. Kwenye mchezo huo, Simba ilipata sare ya 1-1 na kuipa nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali. Malone ameandika:…