Yanga SC 4-0 JKT Tanzania
Yanga SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa leo, Agosti 24, 2026, Uwanja wa KMC Complex,Mwenge, Dar. Ni Albert Kangwanda alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 29,Ibrahim Bacca aliongeza bao la pili dakika ya 34, Chadrack Boka alifunga dakika ya 39. Mpaka dakika 45 za mwanzo zinakamilika ubao…