Manchester United Yakamilisha dili la Carlos Baleba kwa Bilioni 253
MANCHESTER: Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa Brighton, Carlos Baleba, kwa ada ya jumla ya pauni milioni 70. Manchester United imekubali kulipa pauni milioni 65 pamoja na pauni milioni 5 zitakazotokana na vigezo maalum vya mkataba, huku Brighton ikikubali ofa hiyo. Baleba, mwenye umri wa miaka 22, amekuwa akihusishwa kwa muda mrefu na…