Depu Atoa Ujumbe Mzito Akiwaaga Mashabiki wa Yanga
Mshambuliaji wa kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson “Depu”, ameaga rasmi klabu ya Yanga pamoja na mashabiki wake baada ya kuondoka Tanzania na kurejea Angola. Depu ametuma ujumbe wa kuwaaga mashabiki wa Yanga, huku akiwashukuru kwa mapokezi mazuri, upendo na ushirikano kubwa aliyopata tangu alipowasili klabuni hapo, pamoja na ushirikiano alioupata kutoka kwa wachezaji wenzake. Akizungumza…