Ratiba ya NBC Premier League Agosti 15,2026

Agosti 15,2026 NBC Premier League inatarajiwa kuendelea mara baada ya pazia kufunguliwa rasmi Agosti 14,2026. Kuna mechi 3 kali zinatarajiwa kuchezwa leo katika viwanja vitatu tofauti ambapo mabingwa watetezi Yanga SC watakuwa ugenini. Polisi Tanzania vs Azam FC, saa 10:00 jioni, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Coastal Union vs Mashujaa FC, saa 12:30 jioni,…

Read More

Bubble Up Yaingia Kwenye Uwanja, Meridianbet Yaongeza Mchezo Mpya

Uwanja wa kasino umepata mgeni mpya, Bubble Up kutoka Pragmatic Play sasa inapatikana Meridianbet, ikiwa imekuja na mchanganyiko wa rangi, bubbles na mfumo wa uchezaji unaolenga kuwapa wachezaji uzoefu mpya wa kusisimua. Mchezo huo umefunguliwa kwa mashabiki katika kipindi maalum kuanzia Agosti 10 hadi Agosti 24, 2026. Hii ni fursa kwa wachezaji kuonja mchezo kabla…

Read More

Msicha wa Maisha Yangu yapatikana mtandaoni selar.com

HATIMAYE kile kitabu kipya cha Msichana wa Maisha Yangu kutoka kwa Best Seller Authors, Lunyamadzo Mlyuka kimepandishwa leo Agosti 14,2026 kwenye mtandao wa mauzo wa selar.com. Hii ni njia nyingine tena kwa msomaji kupata kitabu chenye simulizi ya kiafrika inayozungumzia maisha halisi na mabadiliko ya teknolojia. Kuipata sasa bofya hapa: Buy Book: Msichana wa Maisha…

Read More

Namungo FC vs Yanga SC

Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu Manqoba Mngqithi, ilimaliza msimu wa 2025/26 ikiwa na pointi 75 baada ya mechi 30, ilipoteza mchezo mmoja pekee dhidi ya Dodoma Jiji FC. Kwa sasa timu hiyo ipo Lindi kwa maandalizi ya mchezo wa ufunguzi ndani ya msimu mpya wa 2026/27 unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa. Ni Agosti 15…

Read More

Nani Atachukua TSh Milioni 1.5? Expanse Epic Spins Yaingia Meridianbet

Mashindano mapya yameingia Meridianbet na safari hii macho yanaelekezwa kwenye Expanse Epic Spins, Epic Rewards, ambapo wachezaji wa kasino wanapewa nafasi ya kushindania zawadi kubwa hadi TSh 1.5 milioni kwa mshindi wa kwanza. Promosheni hii itaendelea hadi Agosti 21, 2026, kupitia michezo maalum ya Expanse iliyopo ndani ya Meridianbet. Tofauti na kucheza bila ushindani, Expanse…

Read More