Seleman Mwalimu atambulishwa Yanga SC rasmi
RASMI Agosti 11,2026 Seleman Mwalimu ametambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga SC akitokea kikosi cha Wydad Casablanca kwa mkopo. Ikumbukwe kwamba mchezaji huyu msimu wa 2025/26 alikuwa ndani ya kikosi cha Simba SC ambapo alifunga jumla mabao 9 katika NBC Premier League. Mwalimu anakumbukwa kuwa miongoni mwa wachezaji aliyefunga goli la ushindi kwenye mchezo wa…