Patashika nguo kuchanika leo kwenye mechi zinazotarajiwa kupigwa hapo baadae ambapo timu zote zinahitaji kupata ushindi ili kujiweka vyema kufuzu kwenye nafasi inayofuata. Je karata yako unaiweka kwa nani hapa?
Tunisia dhidi ya Japan, hii ni moja ya mechi ambayo inatarajiwa kuwa ya kipekee sana kutokana na umuhimu wa pointi 3 kwa timu zote mbili baada ya mechi zao za kwanza kushindwa kupata ushindi.
Kwenye hili Kundi hili F, ni timu moja tuu ambayo ilishinda mechi yao ya kwanza wengine wakitoa sare na mmoja akipoteza. Hii ni mechi ambayo Samurai Blue wanahitaji kushinda na kikosi cha wao kupata ushindi wanacho. Wanakutana ana Tunisia ambao bado hawana ubora wa kupambana na kushinda.
Vijana hao wa Hajime Moriyasu wanaingia wakiwa na morali ya juu kutokana na ubora wa kiufundi na kasi yao ya kushambulia, huku Tunisia wakitarajiwa kucheza kwa tahadhari zaidi wakisaka mwitikio baada ya kuanza vibaya kampeni yao. Suka jamvi hapa
Timu hii ya Jana ilionesha kiwango bora sana kwenye mechi ya kwanza na wanapewa nafasi kubwa zaidi ya kuondoka na pointi tatu, lakini presha ya Tunisia ya kutafuta matokeo inaweza kuifanya mechi hii kuwa ngumu na yenye ushindani mkubwa.
Tusua leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Halikadhalika mechi nyingine ni hii ya Spain vs Saudi Arabia ambapo wote hawa waili wametoa sare mechi zao za kwanza za ufunguzi. Kwenye Kundi hili H timu zote zimeanza na sare hakuna ambaye ameambulia ushindi wowote hadi sasa.
Kocha huyo wa Spain Luis de la Fuente na vijana wake wanahitaji ushindi mechi hii ya pili ili wajiweke sawa kwenye kufuzu nafasi inayofuta, kocha wa Taifa hilo aliamua kuwaanzisha Lamine na Nico Williums lakini kwenye mechi hii ya pili wachezaji hao wanaweza kuanza kwenye kikosi.
Mabingwa hao wa Europe licha ya kutawala mchezo wao wa kwanza kwa kumiliki mpira kwa asilimia kubwa na kutengeneza nafasi nyingi, lakini walishindwa kuzitumia. Kocha Luis de la Fuente amesisitiza kuwa hakuna sababu ya hofu, ingawa amekiri kuwa timu yake ilikosa ukali katika eneo la mwisho. Jisajili hapa
Kwa upande wa Saudi Arabia wao walionyesha nidhamu kubwa ya kujilinda dhidi ya Uruguay na walikuwa karibu kupata ushindi kabla ya kuruhusu bao la kusawazisha mwishoni mwa mchezo.
Wakiwa na wachezaji wenye kasi kwenye mashambulizi ya kushtukiza, Saudi Arabia wataingia uwanjani wakiamini wanaweza kuisumbua Spain kama walivyowahi kufanya kwa vigogo wengine katika michuano mikubwa. Beti yako unaiweka wapi?. Beti hapa
Hivyo hii ni mechi ambayo inaweza tena ikawa ngumu kwa mabingwa hawa wwa Europe kwani wanakutana na timu nyingine ambayo inaweza kuzuia hivyo ufanisi mbele kwenye lango la goli unahitajika zaidi.