Azam FC 3-2 Yanga SC
Azam FC 3-2 Yanga SC ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali CRDB Federation Cup katika mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza leo Juni 21, 2026. Yanga SC walikuwa mabingwa watetezi wameangusha taji hilo ikiwa ni mara ya kwanza baada yakutetea kwa muda wa miaka mitano mfululizo. Magoli ya Azam FC…