NBC Premier League ratiba hii hapa/ Mtibwa Sugar vs Yanga

NBC Premier League inaendelea ambapo Jumamosi na Jumapili kuna mechi kali mbili kwa kila timu kupambania pointi tatu muhimu. Machi 21, 2026 ni Mtibwa Sugar vs Yanga SC, saa 10:00 jioni. Mtibwa Sugar wapo nyumbani, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma,watakabiliana na Yanga SC. Mchezo uliopita Mtibwa Sugar ilipoteza kwa kufungwa 3-0 dhidi ya Azam FC mchezo…

Read More

Refa Aliyeinyima Yanga Penati Afungiwa Mizunguko Mitatu

Mwamuzi Ally Mnyupe kutoka Morogoro amefungiwa kuchezesha mechi kwa mizunguko mitatu (3) baada ya kushindwa kutafsiri ipasavyo sheria za mpira wa miguu katika mchezo kati ya Azam FC na Yanga. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare tasa, mwamuzi huyo alishindwa kutoa penalti kwa Yanga licha ya tukio la…

Read More

FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC

Mashujaa FC 0-0 Azam FC mchezo umekamilika kwa wababe kugawana pointi mojamoja katika Uwanja wa Lake, Tanganyika mwisho wa reli Kigoma. Matokeo haya yanaifanya Azam FC kusalia nafasi ya pili wakiongeza pointi moja kibindoni leo Machi 19,2026. Ni pointi 29 wanafikisha Azam FC baada ya mechi 15 NBC Premier League wakiwa hawajapoteza mchezo mpaka sasa…

Read More

FT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC

PAMBA Jiji FC 1-1 Simba SC ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa Kirumba, leo Machi 19,2026. Alianza Anicent Oura alianza kufunga goli kwa Simba SC dakika ya 33 na dakika ya 36 James alifunga goli kwa upande wa Pamba Jiji FC. Licha ya mnyama kuanza kutangulia kufunga kwenye mchezo alikwama…

Read More

HT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC

 HT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC, NBC Premier League, Uwanja wa CCM Kirumba, Machi 19,2026.  Simba SC walianza kufunga dakika ya 33 ni Anicent Oura alifungua ukurasa na goli hilo lilidumu kwa dakika 3 kabla wenyeji kujaza mpira kimiani. James Mwashinga alifunga goli la usawa dakika ya 36 ya mchezo na kuwanyanyua mashabiki wa…

Read More

Kikosi cha Mashujaa FC vs Azam FC

Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma kuna mchezo wa Mashujaa FC vs Azam FC leo Machi 19,2026 ambapo jeshi la wenyeji langoni yupo Patrick Munthali. Wachezaji wengine ni Baraka Mtuwi, Samweli Onditi, Samsoni Madeleke, Abdulnasir Assa, Mgandila Shaban, Mpoki Mwakinyuke, Mohamed Mussa, Salum Kihimbwa, Ismail Mgunda na Crispin Ngushi. Wachezaji wa akiba ni Hassan Haji,…

Read More