Kikosi cha Mashujaa FC vs Azam FC

Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma kuna mchezo wa Mashujaa FC vs Azam FC leo Machi 19,2026 ambapo jeshi la wenyeji langoni yupo Patrick Munthali.

Wachezaji wengine ni Baraka Mtuwi, Samweli Onditi, Samsoni Madeleke, Abdulnasir Assa, Mgandila Shaban, Mpoki Mwakinyuke, Mohamed Mussa, Salum Kihimbwa, Ismail Mgunda na Crispin Ngushi.

Wachezaji wa akiba ni Hassan Haji, Nyerezi Shaban, Jaffar Kibaya, Seleman Bwenzi,Frank Magingi, David Uromi, Lameck Kanyonga, Mikaidad Ally na Baraka Charles.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.